Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 870

Author: jomushi

Gordon Brown Aisifia Tanzani Kielimu Barani Afrika

Posted on: May 8, 2014May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: Gordon Brown aisifu Tanzania
Gordon Brown Aisifia Tanzani Kielimu Barani Afrika

MJUMBE Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu Elimu ya Kimataifa – UN Special Envoy for Global Education – na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza,…

Continue Reading....

Waafrika Kusini Wapiga Kura Kuchagua Wabunge

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: Uchaguzi Afrika Kusini
Waafrika Kusini Wapiga Kura Kuchagua Wabunge

RAIA wa Afrika Kusini wanapiga kura kuwachaguwa wabunge, huki pakiwa kuna uwezekano wa chama tawala cha ANC kuendelea kutawa kwa mujibu wa utafiti uliofanywa toka…

Continue Reading....

Boko Haram Kuwauza Wasichana Iliyowateka, Polisi Watumia Fedha Kuwasaka

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: Boko Haram
Boko Haram Kuwauza Wasichana Iliyowateka, Polisi Watumia Fedha Kuwasaka

KUNDI la Boko Haram limekiri kuwateka nyara wasichana wa shule moja nchini Nigeria na limesema kuwa linajiandaa kuwauza. Polisi nchini Nigeria wameahidi kumtunuku dola laki…

Continue Reading....

Mvua ya Samaki Yanyesha Kijijini

Posted on: May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, Mvua ya Samaki
Mvua ya Samaki Yanyesha Kijijini

WAKAZI wa kijiji kimoja Magharibi mwa Sri Lanka wameshangazwa na pia kwa namna nyingine kufurahishwa na tukio la ‘kunyesha’ kwa mvua ya Samaki wadogo kijijini…

Continue Reading....

Bomu Lalipuka, Lajeruhi Kanisani

Posted on: May 7, 2014May 7, 2014 - jomushi
Post Tags: Bomu Kanisani, featured
Bomu Lalipuka, Lajeruhi Kanisani

MTU mmoja amejeruhiwa baada ya kulipukiwa na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Ziwa…

Continue Reading....

Rais Kikwete Awasili Abuja, Nigeria

Posted on: May 7, 2014May 8, 2014 - jomushi
Post Tags: Rais Kikwete
Rais Kikwete Awasili Abuja, Nigeria

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasili kwenye mji mkuu wa Nigeria wa Abuja usiku wa jana, Jumanne, Mei 6, 2014…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari