Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 525

Author: jomushi

Megatrade Investment Waisaidia Kilimanjaro FC

Posted on: May 21, 2015May 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Kilimanjaro FC, Megatrade Investment
Megatrade Investment Waisaidia Kilimanjaro FC

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investment Ltd ya jijini A rusha, kanda ya Kaskazini, Edmund Rutaraka akikabidhi hundi ya kiasi cha sh Mil, 1.5 kwa…

Continue Reading....

Uwazi na Uwajibikaji Unawahusu Wote si Serikali tu-JK

Posted on: May 21, 2015 - jomushi
Post Tags: serikali, Uwazi na Uwajibikaji
Uwazi na Uwajibikaji Unawahusu Wote si Serikali tu-JK

Na Joachim Mushi RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema dhana ya uwazi na uwajibikaji haipaswi kutekelezwa na Serikali pekee, bali inawahusu pia waendeshaji wa asasi…

Continue Reading....

Rais Kikwete Akemea Vitisho kwa Wabia wa Maendeleo

Posted on: May 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Rais Kikwete, Vitisho, Wafadhili Maendeleo
Rais Kikwete Akemea Vitisho kwa Wabia wa Maendeleo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa kamwe mahusiano kati ya Tanzania na wabia wa maendeleo hayawezi kutawaliwa na vitisho…

Continue Reading....

Ujue Upasuaji Magonjwa ya Mishipa ya Moyo Wenye Madhara Kidogo

Posted on: May 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Magonjwa ya Mishipa ya Moyo, Upasuaji
Ujue Upasuaji Magonjwa ya Mishipa ya Moyo Wenye Madhara Kidogo

UGONJWA wa mishipa ya moyo (CAD) ni aina ya ugonjwa wa moyo unaowakumba wengi, huongoza kusababisha vifo kwa wengi ikiwemo wanawake na wanaume. Ugonjwa hutokea…

Continue Reading....

UNESCO Yaahidi Kupambana na Unyanyasaji wa Albino Tanzania

Posted on: May 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Albino Tanzania, UNESCO, Unyanyasaji
UNESCO Yaahidi Kupambana na Unyanyasaji wa Albino Tanzania

Kiongozi wa ofisi na mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) nchini, Zulmira Rodrigues (kulia) akisalimiana na Mkuu wa…

Continue Reading....

Mlipuko Magonjwa ya Kuambukiza Kambi za Wakimbizi Kigoma…!

Posted on: May 21, 2015 - jomushi
Post Tags: Kigoma, Magonjwa, Wakimbizi
Mlipuko Magonjwa ya Kuambukiza Kambi za Wakimbizi Kigoma…!

 Baadhi ya wakimbizi wakiwa wamewasili Kigoma  Wakimbizi kutoka Burundi wakisubiri huduma mbalimbali za kijamii  Mmoja wa wakimbizi akiwa anapata matibabu  Hapa watoto wa wakimbizi wakijipikia…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari