Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 465

Author: jomushi

Jumaa Mhina ‘Pijei’ Aomba Ubunge CCM Kawe…!

Posted on: July 15, 2015 - jomushi
Jumaa Mhina ‘Pijei’ Aomba Ubunge CCM Kawe…!

Hapa ikionesha fomu baada ya kukabidhiwa.  Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Athuman Sheshe (kushoto), akimpa maelezo ya kufuata baada ya kukabidhiwa fomu hizo. Waandishi…

Continue Reading....

Kingunge Asema ‘CCM’ Imemuonea Lowassa

Posted on: July 15, 2015 - jomushi
Post Tags: CCM, Kingunge, Lowassa
Kingunge Asema ‘CCM’ Imemuonea Lowassa

JANA Mzee Kingunge Ngombali Mweru kazungumza na Vyombo vya Habari, ameanza kwa kupinga mfumo uliotumika kuwachuja wagombea wa urais kupitia CCM. Kingunge amesema “Kamati ya…

Continue Reading....

Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Yampongeza na Kumuaga Samia Suluhu

Posted on: July 15, 2015July 15, 2015 - jomushi
Post Tags: Ofisi ya Makamu wa Rais
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Yampongeza na Kumuaga Samia Suluhu

Continue Reading....

Rais Kikwete Awasili Uswisi, Aanza Vikao vya Kazi

Posted on: July 15, 2015 - jomushi
Post Tags: Uswisi
Rais Kikwete Awasili Uswisi, Aanza Vikao vya Kazi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa linalochunguza jinsi dunia inavyoweza kujikinga na majanga ya magonjwa ya mlipuko katika…

Continue Reading....

Hasan Mazala Aomba Kuvaa Viatu vya Mohammed Dewji Singida Mjini

Posted on: July 15, 2015 - jomushi
Post Tags: Singida Mjini
Hasan Mazala Aomba Kuvaa Viatu vya Mohammed Dewji Singida Mjini

  Mazala akiwaasa vijana kufanya kazi kwa nguvu katika jimbo hilo. Mkinipa nafasi ya kuwatumikia mambo yatanyooka namna hii. Mgombea wa nafasi ya Ubunge Jimbo…

Continue Reading....

Kijana Edmund Rutaraka Ajitosa Ubunge Moshi Mjini

Posted on: July 15, 2015 - jomushi
Post Tags: Ubunge
Kijana Edmund Rutaraka Ajitosa Ubunge Moshi Mjini

Na Dixon Busagaga SIKU chache baada ya kumalizika mchakato wa kumpata kada atakaye peperusha bendera ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kinyang’anyiro cha kumpata Rais…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari