Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 458

Author: jomushi

Kumekucha Kombe la Kagame, Azam FC Yaanza Vizuri

Posted on: July 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Azam FC, Kombe la Kagame
Kumekucha Kombe la Kagame, Azam FC Yaanza Vizuri

MICHUANO ya Kombe la Kagame inayoendelea kutimua vumbi katika viwanja viwili vya Taifa na Karume vilivyopo jijini Dar es salaam, itaendelea kesho kwa michezo miwili…

Continue Reading....

Abbas Mtemvu Arejesha Fomu ya Kuomba Ubunge Tena

Posted on: July 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Abbas Mtemvu
Abbas Mtemvu Arejesha Fomu ya Kuomba Ubunge Tena

 Mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Temeke kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abbas Mtemvu (wapili kulia), akirudisha  Fomu katika Ofisi za Chama hicho kwa Katibu…

Continue Reading....

Mizengo Pinda Aukataa Ubunge Jimbo la Katavi…!

Posted on: July 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Mizengo Pinda
Mizengo Pinda Aukataa Ubunge Jimbo la Katavi…!

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amekataa ombi la wananchi wa jimbo lake la uchaguzi la Katavi la kumtaka agombee tena ubunge katika jimbo hilo ili kuendeleza…

Continue Reading....

Ubunge wa CCM Wawavuta Vijana Wengi Moshi

Posted on: July 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Moshi, Ubunge CCM
Ubunge wa CCM Wawavuta Vijana Wengi Moshi

Mtia nia wa nafasi ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini, Priscus Tarimo, akikabidhiwa fomu ya nafasi hiyo na katibu wa CCM manispaa ya Moshi,…

Continue Reading....

Taharuki Mv Kigamboni, Yapoteza Mwelekeo Leo

Posted on: July 19, 2015 - jomushi
Taharuki Mv Kigamboni, Yapoteza Mwelekeo Leo

 Baada ya kupakia Abiria na magari upande wa kigamboni likiwemo gari maalumu la kubebea wagonjwa lilifanikiwa kutoka upande wa kigamboni na lilipofika jirani na gati upande wa…

Continue Reading....

Heri ya Siku ya Kuzaliwa Krantz Mwantepele

Posted on: July 19, 2015 - jomushi
Post Tags: Siku ya Kuzaliwa
Heri ya Siku ya Kuzaliwa Krantz Mwantepele

Leo tarehe 19 July ni siku ya kuzaliwa Mwanalibeneke la blogu  Krantz Mwantepele ambaye ni Mkurungezi Mtendaji wa MWANAHARAKATI MZALENDO MEDIA pia Mkurungezi Mtendaji wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari