Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 342

Author: jomushi

Kenyatta Awafukuza Kazi Mawaziri, Aunda Upya Wizara

Posted on: November 25, 2015 - jomushi
Post Tags: Kenya
Kenyatta Awafukuza Kazi Mawaziri, Aunda Upya Wizara

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri kufuatia shinikizo la Wananchi kudai kwamba kuna idadi kubwa ya mawaziri wake wanatuhumiwa na…

Continue Reading....

Watano Kushtakiwa kwa Kutoa Siri za Papa

Posted on: November 25, 2015 - jomushi
Post Tags: Baba Mtakatifu
Watano Kushtakiwa kwa Kutoa Siri za Papa

WATU watano wamefunguliwa mashtaka Makao Makuu ya Kanisa Katoliki, Vatican kwa tuhuma za kutoa na kuchapisha nakala za siri zinazoonesha usimamizi mbaya katika Ofisi hiyo…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Majaliwa Ahoji Mradi wa DART Tamisemi

Posted on: November 24, 2015November 24, 2015 - jomushi
Post Tags: Waziri Mkuu Majaliwa
Waziri Mkuu Majaliwa Ahoji Mradi wa DART Tamisemi

Continue Reading....

CHAVITA Yasikitikia Ushiriki Mdogo wa Viziwi Uchaguzi Mkuu

Posted on: November 24, 2015 - jomushi
Post Tags: Walemavu
CHAVITA Yasikitikia Ushiriki Mdogo wa Viziwi Uchaguzi Mkuu

Na Zawadi Msalla CHAMA Cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) kimesikitishwa na kitendo cha ushiriki mbovu wa Viziwi katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba kote…

Continue Reading....

Wazanzibari Marekani Wasaka Suluhu ya Zanzibar ‘White House’

Posted on: November 24, 2015 - jomushi
Wazanzibari Marekani Wasaka Suluhu ya Zanzibar ‘White House’

Na Mwandishi Wetu Washington  WAKATI vikao vya siri vya kutafuta suluhu ya mzozo wa kisiasa visiwani Zanzibar vikiwa vimeripotiwa, juhudi za kuupatia ufumbuzi mzozo huo zimehamia…

Continue Reading....

Standard Chartered Tanzania Yapata Kiongozi Mkuu Mtanzania

Posted on: November 24, 2015 - jomushi
Standard Chartered Tanzania Yapata Kiongozi Mkuu Mtanzania

  Sanjay Rughani anakuwa Mtanzania wa kwanza kuiongoza benki ya Standard Chartered Tanzania akipokea uongozi wa benki hiyo kutoka kwa aliyekuwa mkurugenzi wake, Liz Lloyd,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari