Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 312

Author: jomushi

Mbunge Nassari Atembelea Karakana ya Vifaa Tiba Nchini China

Posted on: January 13, 2016 - jomushi
Post Tags: Mbunge Chadema
Mbunge Nassari Atembelea Karakana ya Vifaa Tiba Nchini China

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiwa katika moja ya karakana ya kutengeneza vifaa tiba katika mji wa Guangzhou nchini China. Nassari akifanya…

Continue Reading....

TTCL Yakopeshwa Dola Mil 22 na Benki ya Uwekezaji Tanzania

Posted on: January 13, 2016 - jomushi
Post Tags: Kampuni TTCL
TTCL Yakopeshwa Dola Mil 22 na Benki ya Uwekezaji Tanzania

KAMPUNI ya Simu Tanzania TTCL na Benki ya TIB leo zimetiliana saini Mkataba wa makubaliano ya dhamana ya Benki na Mkopo wa Dola za Marekani…

Continue Reading....

Naibu Waziri Fedha na Mipango Dk. Kijaji Aibana TRA Mbeya

Posted on: January 13, 2016 - jomushi
Post Tags: Usimamizi Kodi
Naibu Waziri Fedha na Mipango Dk. Kijaji Aibana TRA Mbeya

Baadhi ya waandishi wa Habari Mkoani Mbeya wakiwa makini kumsikiliza Naibu waziri wa Fedha na Mipango Dkt Kishatu Kijaji katika ofisi za Mamlaka ya Mapato…

Continue Reading....

Mahakama Kuu ya Tanzania Yasaidia Wahitaji

Posted on: January 13, 2016 - jomushi
Post Tags: Mahakama Kuu
Mahakama Kuu ya Tanzania Yasaidia Wahitaji

Na Aron Msigwa-MAELEZO JAMII imeaswa kujenga utamaduni wa kuwasaidia watu na makundi yenye mahitaji maalumu hususan wafungwa walio magerezani na wasiojiweza ili kudumisha upendo na…

Continue Reading....

Filamu ya Wema ni Akiba Kuingia Sokoni

Posted on: January 13, 2016 - jomushi
Post Tags: Filamu
Filamu ya Wema ni Akiba Kuingia Sokoni

 Filamu ya Wema ni akiba yake mwanamama Jennifer Mgendi imekamilika. Akiongea na blogu hii Jennifer amesema filamu hiyo ambayo imewashirikisha wasanii na watumishi mbalimbali ni…

Continue Reading....

Kikwete Ampongeza Samatta Kutwaa Tuzo Mchezaji Bora Afrika

Posted on: January 11, 2016 - jomushi
Post Tags: Mchezaji Samatta
Kikwete Ampongeza Samatta Kutwaa Tuzo Mchezaji Bora Afrika

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO RAIS mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amempongeza Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari