Na Modewjiblog team Uongozi wa Rais Magufuli unaonekana kujikita zaidi katika kutatua matatizo yanayowakabili wananchi na kuhakikisha inaboresha huduma wanazopatiwa wananchi kwa kuwasogezea huduma…
Continue Reading....Author: jomushi
Madiwani Nachingwea Walia na Wakala wa Huduma za Misitu
Na. Ahmad Mmow,Nachingwea. Baadhi ya madiwani na wafanyabiashara wa mazao ya misitu Wilayani Nachingwea mkoani Lindi, wamelalamikia urasimu wa utoaji wa vibali vya kusafirishia mazao…
Continue Reading....Wazazi Kisarawe Wafunguka Kuhusu Adhabu kwa Watoto
Joseph Olowa akiiomba kampuni ya True Vision kusaidia kuelimisha watu wenye lugha za matusi hadharani hivi karibuni wakati wa mdahalo maalum kuhusu adhabu kwa watoto ulioandaliwa…
Continue Reading....Benki ya Dunia, Serikali Kukarabati Mitaro Temeke
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO SERIKALI kwa kushirikiana na Benki ya Dunia inategemea kuanza ukarabati wa Miundombinu mibovu hususani ya mitaro inayosababisha maafa wilayani Temeke…
Continue Reading....Serikali ya Rais Magufuli na Dhamira ya Kujenga Uchumi wa Viwanda
Na Eleuteri Mangi – MAELEZO SERIKALI imesema dhamira yake ya kujenga uchumi wa viwanda nchini imejengwa kupitia maeneo ya vipaumbele ambayo yataanza kutekelezwa katika bajeti…
Continue Reading....Mfumo wa Elimu Wachangia Kukwamisha Ajira kwa Vijana
KATIKA kuadhimisha miaka 50 ya mahusiano na ushirikiano baina ya Uswisi na Tanzania, ubalozi wa Uswisi nchini umefanya mdahalo wa wazi kuhusu ajira kwa vijana ulioshirikisha…
Continue Reading....