Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 273

Author: jomushi

MV Kilombero II Yaanza Kazi Rasmi Baada ya Kuzama

Posted on: March 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Morogoro
MV Kilombero II Yaanza Kazi Rasmi Baada ya Kuzama

WIZARA ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano inapenda kuujulisha umma kuwa kivuko cha MV Kilombero II ambacho kilizama tarehe 27 Januari 2016, na kusababisha kusimama kwa…

Continue Reading....

Rais wa Vietnam‎, Tan Sang Kutembelea Tanzania Machi 9

Posted on: March 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Vietnam
Rais wa Vietnam‎, Tan Sang Kutembelea Tanzania Machi 9

RAIS wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam Mheshimiwa Truong Tan Sang anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini tarehe 9 Machi 2016. Madhumuni ya ziara hiyo ni…

Continue Reading....

Mitt Romney Amwita Mgombea Trump ‘Tapeli’

Posted on: March 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Marekani
Mitt Romney Amwita Mgombea Trump ‘Tapeli’

ALIYEKUWA mgombea wa urais kupitia Chama cha Republican nchini Marekani, Mitt Romney ameibuka na kukitaka chama chake kutomteuwa Donald Trump huku akimtaja mgombea huyo aliyeshinda…

Continue Reading....

Viongozi Wanawake Waliofanikiwa Kuwaunga Mkono Wanawake…!

Posted on: March 4, 2016 - jomushi
Post Tags: Siku ya Wanawake
Viongozi Wanawake Waliofanikiwa Kuwaunga Mkono Wanawake…!

SIKU ya Jumapili (Machi 6, 2016) zaidi ya wanawake mia moja wanatarajia kujumuika pamoja jijini Dar es Salaam katika matembezi yaliyoandaliwa na Taasisi ya Vital…

Continue Reading....

Makumbusho ya Taifa, Sweden Waandaa Onesho Juu ya Matumizi ya Ardhi Hadhari

Posted on: March 3, 2016 - jomushi
Post Tags: Makumbusho ya Taifa
Makumbusho ya Taifa, Sweden Waandaa Onesho Juu ya Matumizi ya Ardhi Hadhari

Na Sixmund Begashe MAKUMBUSHO ya Taifa Tanzania kwa ushirikano na Chuo Kikuu cha Lund Sweden wameandaa onesho la pamoja kuhusu mabadiliko ya matumizi ya ardhi…

Continue Reading....

Ma RC Wapewa Rungu Idhini ya Michango Shuleni

Posted on: March 3, 2016 - jomushi
Post Tags: Michango Shuleni
Ma RC Wapewa Rungu Idhini ya Michango Shuleni

Na Eleuteri Mangi- MAELEZO SERIKALI imeongeza wigo wa utoaji wa kibali cha uchangiaji wa elimu msingi bila malipo hadi kwa Wakuu wa Mikoa baada ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari