Na Joachim Mushi SAKATA la malalamiko yaliyotolewa na Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) dhidi ya baadhi ya askari polisi rafiki kuwa…
Continue Reading....Author: jomushi
Roho za Watanzania zaendelea kuteketea
BREAKING NEWZZZ Roho za Watanzania zaendelea kuteketea *Ajali mbaya yaua tena 9, yajeruhi wengine Na Joachim Mushi IKIWA ni siku chache tangu ajali ya wasanii…
Continue Reading....BREAKING NEWS:Mwanamuziki Issa Kijoti wa 5 Star, wenzake watano wafariki kwenye ajali Morogoro
TAARIFA zilizotufikia muda mfupi uliopita zinasema kuwa, wanamuziki wa kundi la 5 star wamepata ajali mbaya eneo la Mikumi Morogoro na watu watano akiwemo muimbaji…
Continue Reading....Waziri Maige ajitosa kwenye madini
Na Joachim Mushi WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige, amejitosa kwenye mgogoro wa uchimbaji madini hapa nchini huku akiapa kupambana na kampuni ya African…
Continue Reading....Mchungaji Mwasapile wa Loliondo anatibu Ukimwi!
Na Joachim Mushi MCHUNGAJI mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Mwasapile, inasemekana amengundua dawa ya ajabu. Dawa hiyo anayodai inatibu magonjwa…
Continue Reading....NSSF sasa kuzalisha umeme nchini
Na Joachim Mushi Mwanza SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limesema litaanza kuzalisha umeme muda mfupi baadaye na kuliuzia Shirika la Ugavi wa…
Continue Reading....