Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,296

Author: jomushi

Iran yasaidia Kilimo Kwanza

Posted on: April 27, 2011 - jomushi
Iran yasaidia Kilimo Kwanza

Continue Reading....

Dk Shein kutembelea Uturuki

Posted on: April 27, 2011 - jomushi
Dk Shein kutembelea Uturuki

Na Rajab Mkasaba RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein anatarajiwa kuondoka nchini Aprili 28 kuelekea Jamhuri ya Uturuki…

Continue Reading....

Irani yatoa USD mil 1.2 kusaidia Kilimo Kwanza

Posted on: April 27, 2011 - jomushi
Irani yatoa USD mil 1.2 kusaidia Kilimo Kwanza

Na Mwandishi Wetu SERIKALI ya Irani imepanga kutoa dola za kimarekani milioni 1.2 (dola milioni 1.2) kuisaidia Tanzania katika utekelezaji wa vitendo kampeni za Kilimo…

Continue Reading....

JK aongoza maadhimisho ya miaka 47 ya Muungano

Posted on: April 27, 2011April 27, 2011 - jomushi
JK aongoza maadhimisho ya miaka 47 ya Muungano

Na Beatrice Mlyansi na Joseph Ishengoma, Maelezo-Zanzibar RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Kikwete amewaongoza watanzania kwenye maadhimisho ya miaka 47 ya Muungano…

Continue Reading....

Ajali nyingine yaua wanane Rukwa

Posted on: April 25, 2011 - jomushi
Ajali nyingine yaua wanane Rukwa

Na Mwandishi Wetu Sumbawanga WATU wanane wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa vibaya baada ya gari walilokuwa wakisafiria kwenda kusherehekea Sikukuu ya Pasaka kuacha njia…

Continue Reading....

Mbunge atoa ushuhuda wa Loliondo kikaoni

Posted on: April 25, 2011 - jomushi
Mbunge atoa ushuhuda wa Loliondo kikaoni

Na Mwandishi Wetu Kilindi MBUNGE wa Jimbo la Kilindi, Beatrice Shelukindo, amesema kuponya kwa tiba ya kikombe cha dawa inayotolewa na Mchungaji mstaafu, Ambilikile Mwasapila…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari