Gari aina ya fuso lenye namba za usajili T115 ANZ likiwa limepinduka na mizigo kuzagaa baada ya kupata ajali mkoani Iringa jana. Katika ajali hiyo…
Continue Reading....Author: jomushi
Bongo movie wakikaguliwa kabla ya pambano
Mbunge wa Ilemela Mh. Highness Kiwia akisalimiana na Steve Nyerere ‘Messi’ wa Bongo Movie Stars kabla ya mchezo. (Picha na John Bukuku wa Full Shangwe)
Continue Reading....BONGO MOVIE STARS FC YATUA MWANZA
Steve Nyerere ‘Messi’ na JB wakiingia uwanja wa Kirumba taratiiiiibu tayari kupambana na timu ya waandishi wa habari wa Mwanza ijulikanayo kama Rock City Stars…
Continue Reading....Ajali; Wawili wafa 28 wajeruhiwa Iringa
Francis Godwin Iringa WATU wawili wamekufa papo hapo na wengine 28 kujeruhiwa vibaya baada ya fuso lenye namba za usajili T115 ANZ walilokuwa wakisafiria kwenda…
Continue Reading....Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu
Wajumbe wa mkutano wa Baraza la wafanyakazi ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kufunguliwa kwa mkutano…
Continue Reading....Ruvuma ‘out’ Kili Taifa Cup
Na Asha Kigundula, Arusha TIMU ya soka ya Mkoa wa Ruvuma jana imeaga mashindano ya Kili Taifa Cup baada ya kupokea kipigo cha mabao 3-2…
Continue Reading....