Shirika la kutetea haki za binaadam la Amnesty International limeitaka serikali ya Misri kufanya uchunguzi kamili baada ya maofisa wa juu wa kijeshi kukiri kuwa…
Continue Reading....Author: jomushi
Oxfam yaja na kampeni mpya ya ‘otesha’
OTESHA ni kampeni mpya ya Oxfam ya juu ya njia bora za kuotesha, kugawana na kuishi pamoja. Ni kampeni yetu sote, mabilioni ya watu tunaokula…
Continue Reading....Mrwanda, Kassim waitwa stars, wazuiliwa kuja
WACHEZAJI Dan Mrwanda na Abdi Kassim ni miongoni mwa wachezaji saba wanaocheza mpira wa kulipwa nje ya nchi walioitwa na kocha wa Taifa Stars, Jan…
Continue Reading....TFF yataja viingilio Nigeria Vs Tanzania U 23
Mechi ya kwanza ya mchujo ya michuano ya Olimpiki kati ya timu ya Taifa ya Tanzania kwa vijana wenye umri chini ya miaka 23 dhidi…
Continue Reading....Mgogoro UVCCM Arusha, wenyeviti wilaya watoa tamko
Na Janeth Mushi, Arusha IKIWA zimepita siku chache tangu makundi mawili ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha kufanya maandamano…
Continue Reading....Rais Kikwete afungua barabara ya Usagara Geita
Rais Dr. JakayaMrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Barabara ya Usagara Geita leo asubuhi.Barabara hiyo yenye urefu wa kilometa 90 imejengwa kwa thamani ya zaidi…
Continue Reading....