Na Mwandishi Wetu, Dodoma SERIKALI imemsimamisha kazi, Mkurugenzi wa Wanyamapori, Obed Mbangwa na wasaidizi wake wawili kutokana na kashfa ya kusafirishwa wanyama hai nje ya…
Continue Reading....Author: jomushi
Waziri Mkuu wa Uturuki ziarani Somalia
WAZIRI Mkuu wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuwasili nchini Somalia kuanza rasmi kampeni ya kukabiliana na baa la njaa nchini humo. Waziri huyo katika…
Continue Reading....Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania?
Na Silas Severe “NDUGU zangu wa Watanzania ninatambua kabisa kuwa hili si jukwaa la siasa ila nimeona ni heri niwaletee niliyopata kuyaona katika jukwaa la…
Continue Reading....Dola milioni 150 zachangwa kuisaidia Somalia
Waziri mkuu wa uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuwasili nchini Somalia kuanzisha rasmi kampeni ya kukabiliana na baa la njaa nchini humo. Waziri huyo mkuu…
Continue Reading....Njaa, njaa, njaa…ni kwa wakazi wa Wilaya ya Muleba
Mkoa wa Kagera hasa wilayani Muleba, wakulima na wakazi wake ambao hutegea zao la ndizi kama chakula kikuu eneo hilo, hivi sasa wanakabiliwa na njaa…
Continue Reading....Hali ya wakili anayedaiwa ‘kutapeli’ mabilioni bado tete, kesi yaendelea
Na Janeth Mushi, Arusha WAKILI maarufu mkoani hapa Mediam Mwale, ambaye juzi alisomewa mashitaka 13 ya kuhujumu uchumi na kughushi nyaraka na kujipatia fedha sh.…
Continue Reading....