Afghanistan imeanza utaratibu wa kuchukua madaraka ya usalama yenyewe, na jimbo la Banyan limekuwa la mwanzo kukabidhiwa na jeshi la NATO kwa polisi wa Afghanistan.…
Continue Reading....Author: jomushi
Vifo vya askari wa Marekani vyaongezeka Afghanistan
Askari wa Jeshi la Marekani wameendelea kuteketea na kufikia askari 31 ikilinganisha na mapema miezi iliyopita hii ni kutokana na kuanguka kwa helkopata ya…
Continue Reading....Afghanistan yashambulia ofisi ya Uingereza, Kabul
Washambuliaji waliojitoa mhanga wameshambulia afisi za British Council katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, na kuwaua takriban watu tisa na kushikilia eneo la Ofisi hizo…
Continue Reading....Tanzania yapiga marufuku uuzaji wanyamapori
Tanzania imetangaza kupiga marufuku biashara ya kukamata na kuwasafirisha wanyamapori kwenda nje ya nchi. Hatua hiyo imetangazwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati akijibu hoja…
Continue Reading....CCM waanza rafu Jimbo la Igunga, Takukuru yawanasa wakipeana mlungula uchaguzi kura za maoni
Na Mwandishi Wetu, Igunga MCHAKATO wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kura za maoni kuteua majina ambayo yatawasilishwa katika kikao cha Kamati ya Siasa ya…
Continue Reading....Longo longo za upatikanaji umeme nchini zaendelea
TAARIFA YA SERIKALI KUHUSU HALI YA UMEME NCHINI, WIKI HII Taarifa hii imewasilishwa jana bungeni Dodoma Mheshimiwa Spika, jana asubuhi, baada ya kipindi cha maswali…
Continue Reading....