Na Joachim Mushi KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, David Jairo amepokelewa kama mfalme alipowasili katika Ofisi za Wizara ya Nishati na Madini…
Continue Reading....Author: jomushi
CCM yasema malalamiko ya Rostam hayainyimi ‘usingizi’ Igunga
Na Joachim Mushi CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema malalamiko aliyoyatoa aliyekuwa Mbunge wa Igunga, Rostam Aziz pindi anajiuzulu hayawezi kuwanyima ushindi katika uchaguzi mpya unaotarajiwa…
Continue Reading....Nasri rasmi kukiputa Man City
Manchester City wamekubaliana na Arsenal kumsajili kiungo Samir Nasri. Nasri sasa anaelekea mjini Manchester kwa ajili ya vipimo vya afya. Nasri alifanya mazoezi na Arsenal…
Continue Reading....Kesi dhidi ya Strauss-Kahn yafutwa
JAJI wa Mahakama mjini New York amefuta kesi ya dhuluma za ngono dhidi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani, Dominique Strauss-Kahn. Hatua hiyo…
Continue Reading....Gaddafi: Aluta Kontinua, nitapambana hadi kifo
KANALI Muammar Gaddafi ameapa kupigana na waasi hadi kifo au ushindi, ripoti zimesema, baada ya waasi kudhibiti makazi yake mjini Tripoli. Televisheni inayomuunga mkono Kanali…
Continue Reading....Mambo yageuka Tripoli, waasi warudishwa nyuma na Jeshi la Gaddafi
MAPIGANO yanaendelea kati ya pande mbili muhimu Mji Mkuu wa Libya, Tripoli, kwa siku ya tatu mfululizo huku wapiganaji waasi wakipambana na vikosi vinavyomtii Kanali…
Continue Reading....