Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,189

Author: jomushi

Viongozi Chadema kuburuzwa mahakamani Arusha

Posted on: August 24, 2011August 25, 2011 - jomushi
Viongozi Chadema kuburuzwa mahakamani Arusha

BAADA ya Jeshi la Polisi mkoani Arusha kuwashikilia viongozi wawili wa CHADEMA akiwemo aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema, Gervas Mgonja…

Continue Reading....

Jinamizi la muziki wa dansi lafunika Ulaya!

Posted on: August 24, 2011 - jomushi
Jinamizi la muziki wa dansi lafunika Ulaya!

KUNDI la Ngoma Africa Band aka ‘FFU’ Ughaibuni, linatarajiwa kuendelea kumwaga burudani zake Ulaya na safari hii ni kwa mashabiki wa mjini Tuttlingen, show itakayofanyika…

Continue Reading....

Uholanzi yaipiku Hispania ubora wa soka

Posted on: August 24, 2011August 24, 2011 - jomushi
Uholanzi yaipiku Hispania ubora wa soka

Uholanzi imeipiku Hispania katika nafasi ya kwanza ya ubora Fifa wa kusakata soka duniani, huku Englan ikipanda nafasi mbili juu hadi ya nne. Wachezaji wa…

Continue Reading....

Maofisa wa Polisi Burkina Faso wafungwa

Posted on: August 24, 2011August 25, 2011 - jomushi
Maofisa wa Polisi Burkina Faso wafungwa

MAOFISA polisi watatu wametiwa gerezani baada ya kukutwa na hatia ya kuhusika kwenye mauaji ya mwanafunzi kutoka Burkina Faso mwezi Februari, na kuchochea ghasia kwa…

Continue Reading....

Sijiuzulu ng’o-Meya wa Jiji la Arusha

Posted on: August 24, 2011 - jomushi
Sijiuzulu ng’o-Meya wa Jiji la Arusha

Na Janeth Mushi, Arusha MEYA wa Manispaa ya Jiji la Arusha, Gaudence Lyimo amesema hawezi kujiuzulu wadhifa wake huo na kukanusha vikali kwamba hajavamiwa na…

Continue Reading....

Joice ataka kifo cha mumewe kichunguzwe

Posted on: August 24, 2011August 24, 2011 - jomushi
Joice ataka kifo cha mumewe kichunguzwe

Makamu wa Rais wa Zimbabwe Joice Maimu ametoa wito wa kufanywa uchunguzi wa kifo cha mume wake Solomon kilichotokea wiki iliyopita kwenye shamba lao. Aliyekuwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari