Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 2,148

Author: jomushi

Dk. Bilal akizindua Kitabu cha ‘Quantum Mechanics’

Posted on: September 24, 2011 - jomushi
Dk. Bilal akizindua Kitabu cha ‘Quantum Mechanics’

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizindua rasmi Kitabu cha ‘Quantum Mechanics’ kilichotungwa na Professa. John Kondoro, wakati…

Continue Reading....

Dodoso za sensa ya watu na makazi 2011

Posted on: September 23, 2011 - jomushi
Dodoso za sensa ya watu na makazi 2011

Mkufunzi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bi. Neema Ngure akitoa ufafanuzi wa fomu za dodoso zitakazotumika kwenye sensa ya majaribio ya watu na makazi…

Continue Reading....

Utiaji saini miradi ya Makaa ya Mawe ya Mchuchuma na Chuma Liganga

Posted on: September 23, 2011September 23, 2011 - jomushi
Utiaji saini miradi ya Makaa ya Mawe ya Mchuchuma na Chuma Liganga

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya Sichuan Hngda…

Continue Reading....

Idadi ya vifo vya mama na mtoto yapungua

Posted on: September 23, 2011 - jomushi
Idadi ya vifo vya mama na mtoto yapungua

IDADI ya vifo vya Mama na Mtoto barani Afrika imeanza kupungua kutokana na nchi nyingi kufanikiwa katika kupunguza ugonjwa wa malaria ambao nao umekuwa unachangia…

Continue Reading....

‘Mjue Sensei Rumadha Fundi’

Posted on: September 23, 2011 - jomushi
‘Mjue Sensei Rumadha Fundi’

WAKATI tunaelekea katika shangwe za miaka 50 ya Uhuru, tunawaletea makala maalumu ya matunda ya vijana walizozaliwa ndani ya miaka 50 ya uhuru, Tanzania pamoja…

Continue Reading....

Tanzania Country Self Assessment Report

Posted on: September 21, 2011December 16, 2014 - jomushi
Tanzania Country Self Assessment Report

African Peer Review Mechanism (APRM) Tanzania Country Self Assessment Report (Final Revised Edition) September 2011 Table of Contents No Item Page No Table of Contents………………………………………………………

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari