Author: jomushi
Bingwa wa Vodacom Cycle Challenge 2011 Tanga apatikana
HASSAN Shariff amefanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya mbio za baiskeli ya “Vodacom Tanga Cycle Challenge 2011” baada ya kumaliza mwendo wa umbali wa kilomita…
Continue Reading....CAF kutoa leseni za ukocha daraja ‘C’
KOZI ya ukocha kwa ajili ya kupata leseni za daraja C kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) itafanyika ofisi za Shirikisho la Mpira…
Continue Reading....Nadir Haroub aenguliwa kikosi cha Stars
BEKI wa kati wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Nadir Haroub ameondolewa katika kikosi hicho kinachojiandaa kwa mechi ya mchujo ya Kombe la…
Continue Reading....Kikwete ngoma nzito
Sitta, Nape wasubiri huruma yake BUNDI mharibifu anazidi kuinyemelea CCM hali inayotishia mgawanyiko mkubwa miongoni mwa makada na wanachama wa chama hicho kikongwe nchini na…
Continue Reading....