WATU 20 wameuwawa na wengine zaidi kujeruhiwa kufuatia vurugu kati ya waandamanaji na vikosi vya usalama nchini Misri, katika uwanja wa Tahrir mjini Cairo huku…
Continue Reading....Author: jomushi
KCB Tanzania yaomba wanafunzi wawezeshwe kiubunifu
Na Mwandishi wetu, Mwanza BENKI ya KCB Tanzania imeiomba serikali kuongeza vifaa vya kufundishia katika shule anuai nchini ili kuwawezesha walimu nchini kuibua vipaji tofauti…
Continue Reading....Kamati ya Maadili CCM yakutana; Ilichojadili ni Siri, siri, Siri!
Na Mwandishi Wetu, Dodoma WAKATI mbambo si shwari ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kamati ya Maadili jana imekutana kwenye kikao cha siri Makao Makuu…
Continue Reading....Wasanii kutoa burudani pambano la Maugo na Toll
Na Mwandishi Wetu WASANII mbalimbali nchini wanatarajiwa kutoa burudani katika pambano la mchezo wa ngumi lisilo na ubingwa litakalowakutanisha bondia, Mada Maugo na mpinzani wake…
Continue Reading....Uchaguzi wa viongozi Cecafa kufanyika Dar
Na Mwandishi Wetu UCHAGUZI wa viongozi wa Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) utafanyika Novemba 24 mwaka huu jijini…
Continue Reading....