Author: jomushi
Elimu ya juu na changamoto ya ongezeko la gharama
Na Mwandishi Wetu UKUAJI wa kiwango cha elimu hapa nchini kuanzia ngazi ya msingi hadi chuo kikuu umekuwa sio wa kiwango cha kuridhisha, na hii…
Continue Reading....Makovu ya Nduli Amini hayata sahaulika- Askofu Kilaini
ASKOFU Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Bukoba, Methodius Kilaini, amesema makovu yaliyotokea katika vita vya Kagera vilivyoanzishwa na Nduli Idd Amini wa Uganda hayawezi…
Continue Reading....Kafulila afukuzwa NCCR-Mageuzi
Ampigia magoti Mbatia kwa machozi, wajumbe wakataa kumsamehe CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimemfukuza uanachama Mbunge wa Kigoma Kusini, David kafulia na wajumbe wengine sita akiwamo aliyekuwa…
Continue Reading....Mabondia Matumla na Oswald wapima vipimo
Na Mwandishi Wetu MABONDIA Rashid Matumla ‘Snake Man’ na Maneno Oswald ‘Mtambo wa Gongo’ wanatarajia kupanda ulingoni Desemba 25 mwaka huu katika pambano lisilo la…
Continue Reading....TIA wazindua mkataba wa huduma kwa mteja
Naibu Waziri wa Fedha Pereira Ame Silima (katikati) akizindua Mkataba wa Huduma kwa Mteja wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) jana jijini Dar es Salaam…
Continue Reading....