Na Rajab Mkasaba, Pemba RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka waalimu wa ualimu kubadilika katika utoaji wa…
Continue Reading....Author: jomushi
Kamati ya Kuzuia Ukatili kwa Wanawake yazinduliwa Tanzania
Na Mwandishi Wetu KAMATI Maalumu itakayofanya kazi ya kuzuia vitendo vya kikatili kwa Wanawake nchini Tanzania imezinduliwa jijini Dar es Salaam. Kamati hiyo ya Kitaifa…
Continue Reading....Mtanzania aombewa ITC Uingereza
*Mzambia kuichezesha Twiga Stars CHAMA cha Mpira wa Miguu Uingereza (FA) kimetuma maombi Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kumuombea Hati ya Uhamisho wa…
Continue Reading....M/kiti Jukwaa la Wahariri Tanzania afikishwa mahakamani
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima, Absalum Kibanda (45) amefikishwa mahakamani leo jijini Dar es…
Continue Reading....Marefa wawili Tanzania waula CAF, waitwa kuwa wakufunzi
Na Mwandishi Wetu WATANZANIA Leslie Liunda na Joan Minja wamechaguliwa kuwa wakufunzi wa waamuzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) baada ya kufaulu…
Continue Reading....Mvua zaleta maafa makubwa Dar, zaua, zajeruhi na kusomba mali
Na Joachim Mushi MVUA kumbwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo maeneo kadhaa ya Jiji la Dar es Salaam imeleta maafa makubwa, ikiwemo kuua, kubomoa baadhi…
Continue Reading....