Na Mwandishi Wetu SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa, Rashid Moyo kilichotokea…
Continue Reading....Author: jomushi
Bondia Super ‘D’ ajivunia mafanikio 2011
Na Mwandishi Wetu ALIYEKUWA bondia wa ngumi za kulipwa, Rajabu Mhamila ‘Super D’ na kocha wa timu ya ngumi ya Ashanti ya Mkoa wa Ilala…
Continue Reading....Watu takriban 15 wauwawa kwenye mlipuko Myanmar
WATU takriban 15 wameuwawa na wengine 79 kujeruhiwa kufuatia mlipuko uliotokea katika mji mkuu wa Myanmar, Yangon. Maafisa wanasema mlipuko huo ulisababisha moto kwenye ghala…
Continue Reading....Kesi ya Mubarak kuendelea Misri
KESI ya aliyekuwa rais wa zamani wa Misri ,Hosni Mubarak inaanza imeanza tena tarehe 28.12.2011 mjini Cairo, baada ya kipindi cha miezi mitatu kilichoshuhudia machafuko…
Continue Reading....Demba Ba achaguliwa kikosi cha Senegal
Senegal imetaja kikosi chake imara cha wachezaji 23 kitakachoiwakilisha nchi hiyo katika mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, huku kikiongozwa na mpachika mabao hatari…
Continue Reading....Utovu wa nidhamu wamgharimu Suarez
Taarifa za hivi punde za michezo zinasema mshambuliaji wa klabu ya kandanda ya Liverpool, Luis Suarez amesimamishwa kucheza mechi moja na kutozwa faini ya paundi…
Continue Reading....