Author: jomushi
Breaking News: CCM yaridhia Kikwete kuvunja Baraza la Mawaziri!
TAARIFA ambazo tumezipata zinasema katika Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichokuwa kikifanyika leo jijini Dar es Salaam kimekubali Rais wa Tanzania,…
Continue Reading....Mahakama yamtia hatiani Charles Taylor
MAJAJI katika Mahakama maalum ya kimataifa wamempata na hatia Rais wa zamani nchini Liberia Charles Taylor na hatia ya kufadhili vita nchini Sierra Leone. Taylor…
Continue Reading....UN yapanga vikwazo dhidi ya Sudan
Marekani imeandaa azimio ambalo limelenga kuidhinisha vikwazo dhidi ya serikali za Sudan na Sudan kusini ikiwa hazitasitisha mapigano mara moja na kurejea kwenye mazungumzo ya…
Continue Reading....Sherehe za miaka 48 ya Muungano; JK asamehe wafungwa
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete leo ameongoza maelfu ya Watanzania wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na…
Continue Reading....