Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,726

Author: jomushi

TFF yawapongeza viongozi wapya DOREFA

Posted on: July 22, 2012 - jomushi
TFF yawapongeza viongozi wapya DOREFA

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linatoa pongezi kwa uongozi mpya wa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dodoma (DOREFA) uliochaguliwa katika uchaguzi…

Continue Reading....

Waliokufa na Mv. SKAGIT Zanzibar waombewa

Posted on: July 22, 2012 - jomushi
Waliokufa na Mv. SKAGIT Zanzibar waombewa

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, leo ameungana na viongozi mbalimbali wa Kitaifa…

Continue Reading....

EAC yataka mkataba wa biashara ya silaha utakaokabiliana na usafirishaji haramu

Posted on: July 22, 2012 - jomushi
EAC yataka mkataba wa biashara ya silaha utakaokabiliana na usafirishaji haramu

Na Nicodemus Ikonko, EANA NAIBU Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) anayeshughulikia Shirikisho la Kisiasa, Dk. Julius Rotich amesema Jumuiya hiyo ingependa kuona…

Continue Reading....

Wazazi wapewa somo kuwalinda watoto na ubakaji

Posted on: July 22, 2012 - jomushi
Wazazi wapewa somo kuwalinda watoto na ubakaji

Na Mwandishi Wetu WAZAZI na walezi nchini wametakiwa kuwa makini na kuhakikisha watoto wao hawatembei ovyo usiku wakati huu wa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa…

Continue Reading....

Wanakijiji kuishtaki Serikali Umoja wa Mataifa

Posted on: July 22, 2012 - jomushi
Wanakijiji kuishtaki Serikali Umoja wa Mataifa

Augustine Mgendi, Buhemba WANANCHI wa vijiji vitatu wanaozungukwa na Mgodi wa Buhemba, Wilaya ya Butiama mkoani Mara wamekusudia kuishtaki Serikali ya Tanzania katika Taasisi za…

Continue Reading....

CCM ‘kuunguruma’ Community Centre Kigoma

Posted on: July 22, 2012 - jomushi
CCM ‘kuunguruma’ Community Centre  Kigoma

Na Bashir Nkoromo, Kigoma CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Julai 22, kinatarajiwa kuutikisa Mkoa wa Kigoma, kwa mkutano wake mkubwa wa hadhara, utakaofanyika kwenye Viwanja vya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari