Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,701

Author: jomushi

Atta Mills azikwa Ghana, JK ahudhuria mazishi

Posted on: August 11, 2012 - jomushi
Atta Mills azikwa Ghana, JK ahudhuria mazishi

Na Mwandishi Maalumu, Ghana RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, Ijumaa, Agosti 10, 2012, amekuwa miongoni mwa viongozi mbali mbali duniani walioshiriki…

Continue Reading....

‘Rais Atta Mills wa Ghana alikuwa shabiki wa soka’

Posted on: August 11, 2012 - jomushi
‘Rais Atta Mills wa Ghana alikuwa shabiki wa soka’

WANAMICHEZO wa Afrika na Ghana wamempoteza kiongozi makini na mahiri wa michezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Ghana, John Evans Atta Mills kuliko pengine…

Continue Reading....

Bajeti ya elimu 2012/13 itamaliza changamoto hizi?

Posted on: August 11, 2012 - jomushi
Bajeti ya elimu 2012/13 itamaliza changamoto hizi?

BAJETI ya elimu itasomwa bungeni siku ya Jumatatu, 13 Agosti. Wakati bajeti ya Elimu inasubiriwa kwa hamu na wadau na hasa wapenda maendeleo ya Elimu,…

Continue Reading....

Ngorongoro Heroes nchini Nigeria

Posted on: August 11, 2012 - jomushi
Ngorongoro Heroes nchini Nigeria

Na Bonifasi Wambura, Nigeria NGORONGORO Heroes, timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 imewasili asubuhi ya Agosti 10 mwaka huu kwa…

Continue Reading....

Kinapa wakamata majangili wa mazao ya misitu

Posted on: August 11, 2012 - jomushi
Kinapa wakamata majangili wa mazao ya misitu

Na Mwndishi wa dev.kisakuzi.com-Moshi HIFADHI ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) kwa kiushirikiana na polisi mkoani Kilimanjaro wameendeleza operesheni ya kukamata majangili wa mazao ya misitu na…

Continue Reading....

Mzuka wa FFU kuamia kwa washabiki!

Posted on: August 11, 2012August 11, 2012 - jomushi
Mzuka wa FFU kuamia kwa washabiki!

NGOMA Africa Band aka FFU yenye makao yake nchini Ujerumani, Bendi hiyo maarufu barani ulaya itatingisha tena jukwaa la onesho ya kimataifa la International African…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari