RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amelaani vikali fujo na ghasia zilizofanyika mjini Mtwara Jumatano, Mei 22, 2013, akisisitiza kuwa rasilimali…
Continue Reading....Author: jomushi
Ghana Yaibuka Mshindi wa Nusu Fainali Guinness Football Challenge
JANA usiku (Mei 22 2013) kupitia televisheni za ITV na Clouds TV nusu fainali ya kwanza kabisa ya GUINNESS® FOOTBALL CHALLENGE™ ilirushwa hewani na katika…
Continue Reading....Maadhimio ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Juzi Dodoma
TAARIFA KAMILI KAMA ILIVYOTOLEWA NA DK. ASHA-ROSE Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ilifanya kikao chake cha kawaida mjini…
Continue Reading....Shule za Kata Zajiendesha kwa Fedha za Walimu Wakuu
Na dev.kisakuzi.com, Rombo CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), Wilaya ya Rombo kimesema shule nyingi za Sekondari za Kata wilaya hiyo na maeneo mengine nchini zinajiendesha kwa…
Continue Reading....Benki ya Dunia Kutoa Bil 1 Kusaidia Nchi za Maziwa Makuu
BENKI Kuu ya Dunia itatoa dola bilioni 1 kusaidia maendeleo ya eneo la maziwa makuu. Rais wa Benki hiyo Jim Yong Kim ameyasema hayo mjini…
Continue Reading....Ghasia Kubwa Zazuka Mtwara Tena
HALI ya usalama mkoani Mtwara ni tete. Mtu mmoja anaaminika kufariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa kutokana na vurugu kubwa zilizozuka jana huko Mtwara baada…
Continue Reading....