Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,260

Author: jomushi

Jhikoman Afunguka Juu ya Mafisadi wa Kazi za Wasanii

Posted on: June 10, 2013 - jomushi
Jhikoman Afunguka Juu ya Mafisadi wa Kazi za Wasanii

Jhikoman Afunguka Juu ya Mafisadi wa Kazi za Wasanii SIKILIZA kauli ya onyo, maoni na ujumbe wa mwanamuziki wa reggea nchini Tanzania, Ras JhikoMan Manyika.…

Continue Reading....

Washiriki Redd’s Miss Tanga Kufanya Usafi na Kutembelea Wagonjwa

Posted on: June 10, 2013 - jomushi
Washiriki Redd’s Miss Tanga Kufanya Usafi na Kutembelea Wagonjwa

Na Mwandishi Wetu, Tanga WAREMBO wanaowania umalkia wa Mkoa wa Tanga “Redd’s Miss Tanga 2013” wanatarajiwa kushiriki katika shughuli za usafi wa mazingira mkoani Tanga…

Continue Reading....

Bondia Japhet Kaseba Amchapa Mmalawi kwa TKO

Posted on: June 10, 2013 - jomushi
Bondia Japhet Kaseba Amchapa Mmalawi kwa TKO

BONDIA Jafet Kaseba wa Tanzania amemshinda bondia Rasco Chimwanza wa kutoka Malawi katika pambano la ubingwa lililofanyika Ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa, ukumbi ambao kwa…

Continue Reading....

Taifa Stars Yapoteza Mechi na Morocco Ugenini

Posted on: June 10, 2013 - jomushi
Taifa Stars Yapoteza Mechi na Morocco Ugenini

TAIFA Stars imepoteza mechi ya ugenini baada ya kufungwa mabao 2-1. Mechi hiyo ya kundi C ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza fainali za Kombe…

Continue Reading....

Angalia Matukio ya Shida ya Maji Kata ya Kishapu

Posted on: June 9, 2013 - jomushi
Angalia Matukio ya Shida ya Maji Kata ya Kishapu

Angalia Matukio ya Shida ya Maji Kata ya Kishapu Na dev.kisakuzi.com, Kishapu WANASEMA maji ni uhai, kinyume chake bila maji hakuna uhai wa mwanadamu na…

Continue Reading....

Wajue Washindi wa Tuzo za Muziki za Kilimanjaro

Posted on: June 9, 2013 - jomushi
Wajue Washindi wa Tuzo za Muziki za Kilimanjaro

Matokeo ya Washindi wa Tuzo za Kilimanjaro -Wimbo bora wa Mwaka wa Taarab: Mjini Chuo Kikuu (Khadija Kopa) -Kikundi bora la taarab: Jahazi Modern Taarab…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari