Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • jomushi
  • Page 1,166

Author: jomushi

Kamati Kuu ya CCM Taifa Kukutana Leo

Posted on: August 23, 2013 - jomushi
Kamati Kuu ya CCM Taifa Kukutana Leo

KAMATI Kuu ya CCM Taifa itakutana Agosti 23, 2013 ikifuatiwa na Halmashauri Kuu keshokutwa asubuhi ambapo itakuwa kwa siku mbili. Ajenda Kuu ya Kamati Kuu itakuwa kujadili…

Continue Reading....

Twanga Pepeta, Roma Mkatoliki Kupamba Tamasha la Wafanya Mazoezi la Vita Malt Jumamosi

Posted on: August 23, 2013 - jomushi
Twanga Pepeta, Roma Mkatoliki Kupamba Tamasha la Wafanya Mazoezi la Vita Malt Jumamosi

Na Mwandishi Wetu KATIKA kuhakikisha Watanzania wanakuwa na afya bora, kinywaji kisicho na kilevi cha Vita Malt, kimeandaa bonanza maalumu litakalowashirikisha wafanya mazoezi na litakalofanyika…

Continue Reading....

Mzee Gurumo Astaafu Rasmi Muziki

Posted on: August 23, 2013 - jomushi
Mzee Gurumo Astaafu Rasmi Muziki

Na Jennifer Chamila, Maelezo MWANAMUZIKI mkongwe wa bendi ya Msondo Ngoma, Mzee Muhidin Gurumo amestaafu rasimi kazi ya muzika alioifanya kwa muda wa miaka 53.…

Continue Reading....

Rwanda, Uganda Zajitoa Bandari ya Dar

Posted on: August 22, 2013 - jomushi
Rwanda, Uganda Zajitoa Bandari ya Dar

CHAMA cha Wasafirishaji wa Mafuta Tanzania (Tatoa), kimesema Rwanda na Uganda zitajitoa kutumia Bandari ya Dar es Salaam kuanzia Septemba Mosi, mwaka huu. Katibu Mtendaji…

Continue Reading....

Mtoto Anapochezea Katiba ya Nchi Mvomero…!

Posted on: August 22, 2013 - jomushi
Mtoto Anapochezea Katiba ya Nchi Mvomero…!

Continue Reading....

JK Amtumia Rambirambi Dk. Mukangara Msiba wa Mzee Kitenge

Posted on: August 22, 2013 - jomushi
JK Amtumia Rambirambi Dk. Mukangara Msiba wa Mzee Kitenge

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mukangara kuomboleza…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari