Wananchi wa mji wa Ngara na vitongoji vyake wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya posta mjini humo, huku wakishangilia wakati Mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe…
Continue Reading....Tag: Kampeni CCM
Bi. Samia Suluhu Amnadi Dk. Magufuli Wilayani Korogwe na Lushoto
Sehemu ya wanaCCM na wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akinadi ilani ya Chama…
Continue Reading....Mgombea Mwenza CCM Avunja Ngome ya ACT Tanga, Avuna Wanachama 272 wa Upinzani
Baadhi ya wana CCM na wananchi wakiwa wamefurika katika Viwanja wa Jitegemee Mjini Muheza ambapo mgombea mwenza nafasi ya urais CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan…
Continue Reading....Dk Magufuli Afunga Kazi Chato, Umati wa Kutisha Wafurika Mkutanoni
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Pombe Magufuli akifafanua jambo kwa msisitizo mkubwa wakati akiwahutubia…
Continue Reading....CCM Kuwatafutia Wakulima Soko la Mihogo Nchini China
MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan ameahidi kuwatafutia soko nchini China wakulima wa zao la mihogo Mkoani Mtwara ili kukuza…
Continue Reading....CCM Yavuna Wanachama 180 Mkutano wa Hadhara Mtwara
Umati wa wananchi pamoja na wanaCCM wakiwa kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani)…
Continue Reading....