Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli aliyeshika kikapu cha sadaka akipokea sadaka toka kwa waumini mbalimbali walio hudhuria ibada katika kanisa la Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita.Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli wakisikiliza mahubiri toka kwa Padri Henry Mulinganisa wakati wa ibada ya jumapili katika kanisa la Katoliki la Bikira MariaParokia ya Chato Mkoani Geita.Jengo la kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita linaloendelea kupanuliwa na kujengwaRais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa nje ya kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita, ambalo linaendelea kupanuliwa na kujengwa hapo akielekea kuwasalimia waumini waliokuwa nje ya kanisa na kuwaaga mara baada ya ibada.Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph agufuli akiwa ameshika kikapu chenye michango ya fedha zilizotolewa na waumini wa kanisa Katoliki la Bikira Maria Parokia ya Chato Mkoani Geita kwaajili ya ujenzi na upanuzi wa kanisa hilo.
One thought on “Rais Magufuli Aendesha Harambee Kuchangia Ujenzi wa Kanisa Chato”
Rais magufuri maneno kidogo matendo zaidi. Namwombea kwa mungu amfanye kuwa imara kwa kila tendo jema apate kumtumikia mungu na watu wake. Na baraka za mungu baba na mwana na roho mtakatifu ziwe pamoja naye sasa hata milele.
Rais magufuri maneno kidogo matendo zaidi. Namwombea kwa mungu amfanye kuwa imara kwa kila tendo jema apate kumtumikia mungu na watu wake. Na baraka za mungu baba na mwana na roho mtakatifu ziwe pamoja naye sasa hata milele.