Matukio Katika Mkutano wa CCM Kumpongeza Rais Kikwete Dar es Salaam

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wanachama wa chama hicho wa mkoa wa Dar es Salaam waliomwandalia hafla ya kumpongeza leo Novemba 18, 2012 katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini humo. Picha na Ikulu.

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wanachama wa chama hicho wa mkoa wa Dar es Salaam waliomwandalia hafla ya kumpongeza leo Novemba 18, 2012 katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini humo. Picha zote na Ikulu.
Baadhi ya wanaCCM waliojitokeza kwenye mkutano huo
Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

About The Author

Joachim Ernest Mushi, Kitaaluma ni mwanahabari muhitimu (Uandishi-2006) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC) kwa sasa Shule Kuu ya Uandishi na Mawasiliano. Nimekuwa mwandishi wa habari za uchunguzi (Gazeti la Kulikoni & Thisday), Mwandishi mwandamizi Gazeti kongwe la Kiongozi, Mhariri wa Makala mwanzilishi wa Gazeti la Jambo Leo. Kwa sasa ni Mhariri Mkuu Kiongozi wa Thehabari.com, nchini Tanzania.

Related posts

Leave a Reply

Your email address will not be published.