Bendi ya Mashujaa Musica Kufanya Show na JB Mpiana Dar

Meneja wa JB Mpiana, Guyguy Kiangala (kulia), akielezea ujio wa mwanamuziki huyo kuja kufanya onyesho hapa Tanzania.

Meneja wa JB Mpiana, Guyguy Kiangala (kulia), akielezea ujio wa mwanamuziki huyo kuja kufanya onyesho hapa Tanzania.
Waandaaji wakijinadi kwa waandishi wa habari.

KAMPUNI ya QS ya jijini inatarajia kumleta nchini mwanamuziki nguli wa Jahmuri ya Kidemokrais ya Congo, JB Mpiana wa bendi ya Wenge BCBG katika uzindizi wa bendi ya Mashujaa Musica ya jijini unaotarajia kufanyika katika viwanja vya Leaders November 30 mwaka huu.

Bendi hiyo ya Mashujaa inatarajiwa kuzindua albam yao ya ‘Risasi Kidole’ yenye nyimbo sita. Burudani zingine zitakazokuwepo siku hiyo ni wanamuziki wa kizazi kipya ambao ni H. Baba, Ney wa Mitego, Mb Dog na wasanii wengine kibao wa muziki wa kizazi kipya.

(Picha zote na Habari kwa Hisani ya www.globalpublishers)

Jiunge nasi kwenye social media
Facebook
Instagram
Youtube
Twitter

About The Author

Joachim Ernest Mushi, Kitaaluma ni mwanahabari muhitimu (Uandishi-2006) wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma (IJMC) kwa sasa Shule Kuu ya Uandishi na Mawasiliano. Nimekuwa mwandishi wa habari za uchunguzi (Gazeti la Kulikoni & Thisday), Mwandishi mwandamizi Gazeti kongwe la Kiongozi, Mhariri wa Makala mwanzilishi wa Gazeti la Jambo Leo. Kwa sasa ni Mhariri Mkuu Kiongozi wa Thehabari.com, nchini Tanzania.

Related posts

Leave a Reply

Your email address will not be published.