Membe Akutana na Mabalozi Kujadili Maandalizi ya Mkutano wa Kimataifa wa Majadiliano

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiq pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya MeTL Mh. Mohammed Dewji (Mb) wakati wakisubiri kuwasili kwa Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Kampuni ya East Coasts Oils and Fats Kampuni Tanzu ya MeTL kuhamasisha Lishe [...]
Google+