KWA wakazi wa Kitongoji cha Kona Nne, Kijiji cha Ugembe II, Kata ya Mwakashanhala wilayani Nzega katika Mkoa wa Tabora, takriban kilometa 90 kutoka Nzega…
Continue Reading....Category: Habari za Vijijini
Tanzanite One Kujenga Madarasa 7 Songambele…!
Mkurugenzi mwenza wa Tanzanite One,Faisal Juma pamoja na viongozi wa serikali na wajumbe wa kamati ya shule ya Songambele akikagua madarasa ambayo hayatumiki kutokana na nyufa…
Continue Reading....Upatikanaji wa Pedi Bado ni Tatizo kwa Wasichana
PAMOJA na jitihada zinazofanyika kuhakikisha kuwa na vyumba maalum kwa ajili ya watoto wa kike kujisitiri wanapokuwa katika hedhi, lakini bado changamoto kubwa ni upatikanaji…
Continue Reading....RC Mtaka Amaliza Mgogoro wa Wanakijiji na Wawekezaji
Na Mwandishi Wetu, Meatu MKUU wa Mkoa wa Simiyu, Anthony Mtaka amefanikiwa kumaliza mgogoro wa muda mrefu kati ya mwekezaji katika Jumuiya ya Hifadhi ya…
Continue Reading....Kero ya Upatikanaji Maji Inavyowakera Akinamama Wilaya ya Kishapu
Wakati nchi ya Tanzania ikiadhimisha wiki ya maji, imeelezwa kuwa wanawake wengi wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wamekuwa wakitumia muda mwingi kutafuta maji hivyo…
Continue Reading....