Winga wa klabu ya Arsenal Alexis Sanchez anatarajia kurejea dimbani mwishoni mwa wiki ambapo timu hiyo itakapoumana na Sunderland katika Kombe la FA. Mchezaji huyo…
Continue Reading....Category: Michezo
FA Cup Kupigwa Mwishoni Mwa Wiki
M echi za Raundi ya 3 ya Kombe la FA , ambalo kwa sasa linaitwa Emirates FA Cup ambalo huzikutanisha Klabu za Ligi Kuu England…
Continue Reading....Simba SC Yatinga Nusu Fainali Mapinduzi Cup
SIMBA SC imebisha hodi Nusu Fainali ya Kombe la Mapinduzi, kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya URA ya Uganda katika mchezo wa Kundi A…
Continue Reading....Mwamuzi Aliyefanya Madudu Mechi Ya Azam na Mtibwa Atimuliwa
Mwamuzi wa pembeni Dalila Jaffar Mtwana aliyechezesha mechi kati ya Azam FC dhidi ya Mtibwa Sugar ameondolewa kwenye orodha ya waamuzi watakaoendelea kuchezesha mashindano ya…
Continue Reading....Hans Poppe Aunga Mkono Simba Kupigwa Bei
MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe amesema kwamba anaunga mkono klabu kuingia katika mfumo wa kuuza hisa. Poppe amesema pia…
Continue Reading....Rooney Avunja Rekodi ya Ufungaji, Atwaa Tuzo Uingereza
Mchezaji wa Manchester Wayne Rooney ametwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka kwa 2015 akitetea tena Tuzo ambayo pia aliizoa mwaka 2014.Hii ni mara ya…
Continue Reading....