KUNDI kubwa la upinzani nchini Misri limesema halitahudhuria mazungumzo yanayoandaliwa na Rais Mohamed Morsi hadi pale masharti yatakapotimizwa. Mkutano huo ulipanga kumaliza machafuko ambayo yamekuwa…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
ECOWAS Kuongeza Vikosi Vyake Mali
MATAIFA ya Afrika Magharibi yamekubali kuongeza idadi ya wanajeshi wake watakaopelekwa Mali kuwaunga mkono wanajeshi wa nchi hiyo kupambana na waasi wenye itikadi kali za…
Continue Reading....Kongamano la Kiuchumi la Davos Uswisi
PAMOJA na masuala ya kiuchumi wajumbe zaidi ya 2500 kwenye kongamano hilo la siku tano watajadili pia masuala ya ulinzi wa mazingira na ya maradhi.…
Continue Reading....Uingereza Yatishia Kujitoa Umoja wa Ulaya
WAZIRI Mkuu wa Uingereza David Cameron ameonya kwamba ikiwa Umoja wa Ulaya hautafanya mageuzi ya msingi kupambana na matatizo yake, basi Uingereza itakuwa haina budi…
Continue Reading....ECOWAS Yaomba Isaidiwe Mali
VIONGOZI wa nchi za Afrika magharibi wameomba msaada wa kimataifa kugharimia majeshi yao kuingilia kati nchini Mali. Walisema hayo kwenye mkutano unaofanywa Abidjan, Ivory Coast.…
Continue Reading....Zebaki Kuacha Kutumika Duniani
NCHI zaidi ya 140 zimekubaliana kuchukua hatua za kuzuwia matumizi ya zebaki ambayo inachafua mazingira. Wajumbe katika mkutano wa Umoja wa Mataifa mjini Geneva walikubaliana…
Continue Reading....