Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 4

Category: Habari za Kimataifa

Emmanuel Macron Rais Mpya Taifa la Ufaransa

Posted on: May 8, 2017 - jomushi
Post Tags: Paris Ufaransa
Emmanuel Macron Rais Mpya Taifa la Ufaransa

EMMANUEL Macron ameshinda Uchaguzi wa Urais wa Ufaransa. Matokeo yanaonesha Macron amemuacha kwa mbali mpinzani wake Bi Marine Le Pen kwa kujinyakulia asilimia 65 ya…

Continue Reading....

Kuwanasa Wauaji wa Albino Kunaitaji Mbinu za Kivita!

Posted on: April 10, 2017 - jomushi
Post Tags: Albino Tanzania
Kuwanasa Wauaji wa Albino Kunaitaji Mbinu za Kivita!

  KWA wakazi wa Kitongoji cha Kona Nne, Kijiji cha Ugembe II, Kata ya Mwakashanhala wilayani Nzega katika Mkoa wa Tabora, takriban kilometa 90 kutoka Nzega…

Continue Reading....

Jacob Zuma Awatumbua Mawaziri, Yumo Waziri wa Fedha

Posted on: March 31, 2017 - jomushi
Jacob Zuma Awatumbua Mawaziri, Yumo Waziri wa Fedha

RAIS wa nchi ya Afrika Kusini, Jacob Zuma amewafukuza kazi mawaziri wake kadhaa akiwemo Waziri wa Fedha, Pravin Gordhan pamoja na naibu wake Jonas Mkabisi…

Continue Reading....

Balozi Marmo Amvisha Cheo Kanali Joseph Bakari wa JWTZ

Posted on: March 19, 2017 - jomushi
Balozi Marmo Amvisha Cheo Kanali Joseph Bakari wa JWTZ

  KATIKA hali ambayo haijazoeleka Balozi wa Tanzania Mhe. Philip Marmo nchini Ujerumani alimvisha Cheo Kanali Joseph Bakari aliyepandishwa Cheo hivi karibuni kutoka Luteni kanali. Hafla hiyo fupi…

Continue Reading....

Al-Shabab Washambulia Kambi ya Majeshi ya Kenya nchini Somalia

Posted on: January 27, 2017 - jomushi
Al-Shabab Washambulia Kambi ya Majeshi ya Kenya nchini Somalia

Kundi la al-Shabab nchini Somalia limesema wapiganaji wake wameshambulia kambi ya wanajeshi wa Kenya wanaohudumu chini ya kikosi cha Umoja wa Afrika (Amisom)nchini Somalia. Wapiganaji…

Continue Reading....

AU Kujadili Madai ya Haki za Ardhi kwa Wanawake Barani Afrika

Posted on: January 21, 2017 - jomushi
AU Kujadili Madai ya Haki za Ardhi kwa Wanawake Barani Afrika

      Meneja wa Haki za Wanawake kutoka Actionaid Tanzania, Scholastica Haule akionesha nakala yenye madai hayo kwa vyombo vya habari walipokutana kumpongeza Mjumbe…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari