Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Kimataifa
  • Page 17

Category: Habari za Kimataifa

Waziri Mkuu Pinda Aibana SADC, Ataka Ijipange Kimikakati

Posted on: August 18, 2015 - jomushi
Post Tags: SADC
Waziri Mkuu Pinda Aibana SADC, Ataka Ijipange Kimikakati

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) haina budi kuweka mkakati utakaohakikisha kuwa nchi wanachama zinakuwa na mpango mahsusi…

Continue Reading....

Rais Salva Kiir Agoma Kusaini Mkataba wa Amani

Posted on: August 17, 2015 - jomushi
Post Tags: Rais Salva Kiir
Rais Salva Kiir Agoma Kusaini Mkataba wa Amani

Rais Salva Kiir Agoma Kusaini Mkataba wa Amani SERIKALI ya Sudan Kusini imekataa kusaini mkataba uliotarajiwa kuleta amani na kumaliza mapigano yaliyodumu nchini humo kwa…

Continue Reading....

Raia Wafurika Mali Kuona Muujiza Nje ya Ukuta wa Choo

Posted on: August 1, 2015 - jomushi
Post Tags: Chooni, Mali, Muujiza
Raia Wafurika Mali Kuona Muujiza Nje ya Ukuta wa Choo

UMATI wa raia umeendelea kufurika eneo moja la Mji Mkuu wa Mali, Bamako ili kujionea kile kilichotajwa kuwa ni muujiza wa kidini kwenye ukuta mmoja…

Continue Reading....

Rais Obama Awatolea Uvivu Viongozi wa Afrika…!

Posted on: July 29, 2015 - jomushi
Post Tags: Afrika, Rais Obama
Rais Obama Awatolea Uvivu Viongozi wa Afrika…!

RAIS wa Marekani Barrack Obama, amewapasha viongozi wa Afrika ambao wanaendelea kung’ang’ania madarakani hata baada ya Katiba kutowaruhusu kuendelea kuwania tena nyadhifa zao za urais.…

Continue Reading....

Madaktari Hospitali ya Wanawake na Watoto Australia Waitamani Tanzania

Posted on: July 29, 2015 - jomushi
Post Tags: hospitali, wanawake, Watoto
Madaktari Hospitali ya Wanawake na Watoto Australia Waitamani Tanzania

Na Mwandishi wetu – Canberra, Australia WAFANYAKAZI wa Hospitali ya wanawake na watoto ya Centenary ya mjini Canberra wameonyesha nia ya kufanya kazi nchini Tanzania…

Continue Reading....

Tamasha La Kiafrika Ujerumani Lafungwa Kwa Mavazi Ya Kiafrika!

Posted on: July 26, 2015July 26, 2015 - kizungumkuti
Post Tags: gumzo, Tamasha, Ujerumani, waacha, waafrika
Tamasha La Kiafrika Ujerumani Lafungwa Kwa Mavazi Ya Kiafrika!

  Picha na Habari, na dev.kisakuzi.com, Tuebingen, Ujerumani

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari