SAUDI Arabia imekana ripoti kuwa mkanyagano uliowaua zaidi ya watu 700 karibu na mji wa Mecca ulisababishwa na kufungwa kwa barabara ili kuruhusu watu mashuhuri…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Baba Mtakatifu Papa Francis Awasili Nchini Marekani
BABA Mtakatifu Francis jana aliwasili nchini Marekani kuanza ziara ya kwanza kuwahi kuifanya nchini humo maishani mwake. Kwa kawaida marais wa Marekani huwapokea wageni rasmi Ikulu ya…
Continue Reading....Bomu Lalipuka Ikulu Somalia, Lauwa 6
BOMU lililotegwa ndani ya gari limelipuka karibu na lango kuu la jumba la rais katika mji mkuu wa Mogadishu. Takriban watu sita wamefariki, ikiwemo walinzi…
Continue Reading....Papa Francis Kuongoza Ibada Havana, Cuba
MAELFU ya waumini wa Kanisa Katoliki wanahudhuria misa mjini Havana ambayo itaongozwa na kiongozi wa kanisa hilo, Papa Francis ambaye anafanya ziara nchini humo kwa…
Continue Reading....Mapambano Yazuka Upya Nchini Burkina Faso
MAPAMBANO yamezuka kwenye hoteli moja katika Mji Mkuu wa Burkina Faso, Ouagadougou, ambako mazungumzo ya amani yamekuwa yakifanyika, baada ya mapinduzi ya juma lilopita. Mapambano…
Continue Reading....Wapiganaji wa IS Walilipua Kanisa Syria
WAPIGANAJI wa dola ya Kiislamu IS, wanadaiwa kulipua Kanisa la kikristu Mji wa Syria wa Palmyra. Kundi la kutetea haki za binadamu nchini Syria limesema…
Continue Reading....