Donald Trump amesema atafurusha wakimbizi kutoka Syria walio nchini Marekani iwapo atakuwa rais. Bilionea huyo, ambaye kwa sasa anaongoza kwenye kinyang’anyiro cha kusaka tiketi ya…
Continue Reading....Category: Habari za Kimataifa
Bendera ya Palestin Yapepea UN
Bendera ya Palestina imepeperushwa kwa mara ya kwanza katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York. Bendera hiyo ilipandishwa kwenye mlingoti kwenye sherehe…
Continue Reading....Jeshi Ladhibiti Kambi Burkina Faso
Serikali ya mpito ya Burkina Faso imesema jeshi limedhibiti kambi ya vikosi vya ulinzi vya Rais vilivyofanya mapinduzi mapema mwezi huu. Maafisa wametangaza tukio hilo…
Continue Reading....Waafrika Wakutana Ujerumani Kuchangia na Kuombea Amani Senegali
Tokea mwaka 1982, serikali ya Senegali imekuwa ikipambana na Kundi la Movement of Democratic Forces of Casamance (MFDC), ambalo linapigania haki ya eneo la Casamance…
Continue Reading....Mgomo Kenya; Walimu Waigomea Mahakama…!
UFUNDISHAJI masomo anuai katika shule za umma nchini Kenya umekwama licha ya amri ya mahakama ya kuwataka walimu ikilazimisha warejee shuleni Jumatatu. Mgomo wa walimu…
Continue Reading....Kikosi cha Kumlinda Rais Chavunjwa Burkina Faso
Serikali ya Burkina Faso imevunja kikosa cha kumlinda rais ambacho kiliwashika mateka mawaziri wakati wa majaribio ya mapinduzi yaliyofeli. Hatua hiyo ilichukuliwa wakati wa mkutano…
Continue Reading....