Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Burudani
  • Page 31

Category: Burudani

KIKAPU ARUSHA WATEMBEZA BAKULI.

Posted on: December 4, 2015 - Yohana Chance

Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Arusha (ARBA), Kipo katika hali ya ukata mkubwa kiasi ambacho kilisababisa kushindwa kwenda kushiriki Michuano ya Taifa yaliyomalizika…

Continue Reading....

AFC YAINGIA MZIGONI DHIDI YA JKT RWANKOME.

Posted on: December 3, 2015 - Yohana Chance
AFC YAINGIA MZIGONI DHIDI YA JKT RWANKOME.

Timu ya AFC imeapata kuisambaratisha timu ya JKT Rwankome katika mchezo wa mwendelezo Ligi Daraja la Pili Ngazi ya Taifa (SDL), Utakaochezwa mwishoni mwa wiki…

Continue Reading....

Instagram Party Kufanyika Escape One Jumamosi

Posted on: November 27, 2015 - jomushi
Post Tags: Instagram Party
Instagram Party Kufanyika  Escape One Jumamosi

  Mkurugenzi wa Freconic ideaz, Fred Ngimba.  Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. wanahabari wakiwa kwenye mkutano huo.   Na Dotto Mwaibale   KAMPUNI ya Freconic Ideaz, imeandaa…

Continue Reading....

Wadau wa Riadha Wazungumzia Kilimanjaro Marathon 2016…!

Posted on: November 18, 2015 - jomushi
Wadau wa Riadha Wazungumzia Kilimanjaro Marathon 2016…!

   Meneja Mawasiliano ya Umma wa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo, John Wanyancha akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika hafla ya…

Continue Reading....

Papa Wemba Afanya Maajabu Tamasha la Karibu Music Festival 2015

Posted on: November 8, 2015 - jomushi
Post Tags: Karibu Music Festival 2015
Papa Wemba Afanya Maajabu Tamasha la Karibu Music Festival 2015

Mwanamuziki nguli wa dansi kutoka DRC Congo, Papaa Wemba kushoto akiimba na kucheza sambamba na madansa wake jukwaani usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la…

Continue Reading....

Bondia Mwakansope Atalipa Kisasi Dhidi ya Ibrahimu Tamba..!

Posted on: November 8, 2015November 13, 2015 - jomushi
Post Tags: bondia tanzania

Na Mwandishi Wetu BONDIA Ibrahimu Tamba anapanda tena uringoni Novemba 22 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es Salaam kuwania mkanda wa ubingwa na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari