Wanachama wote wanne wa kundi la muziki la ABBA walijumuika tena pamoja kwa sherehe ya ufunguzi wa biashara mpya mjini Stockholm. Ukumbi huo wa burudani,…
Continue Reading....Category: Burudani
Filamu ya Star Wars Kuchelewa Kutoka, Kaa Chonjo ni Bonge La Movi
Kampuni ya Disney imetangaza kwamba filamu mpya ya Star Wars ambayo ilipangiwa kutolewa baada ya The Force Awakens itachelewa. Filamu hiyo nambari nane katika mwendelezo…
Continue Reading....Jinsi Tuzo ya Oscar Inavyowatoa Macho Wasanii Weusi
Mcheza filamu raia wa kenya Lupita Nyong’o ameungana na wacheza filamu wengine kushutumu kutojumuishwa kwa wacheza filamu weusi au wale wachache kutoka kwa orodha ya…
Continue Reading....Mwezi wa Majanga Kwa Wanamuzi, Frey Afariki Dunia
Mpiga gitaa na mtunzi wa nyimbo Glenn Frey, ambaye pia ni mwanachama mwanzilishi wa bendi ya The Eagles amefariki. Frey, amefariki jijini New York akiwa…
Continue Reading....Mke Wa Will Smith Apinga Ubaguzi Wa Rangi Tuzo za Oscar
Jada Pinket mkewe nyota wa filamu Will Smith amesema hatashiriki katika tuzo za Oscar, Nyota huyo aliandika katika mtandao wake wa Tweeter mwishoni mwa wiki…
Continue Reading....Albamu ya Black star ya David Bowie Yaongoza Kwa Mauzo
Albamu ya Black star ya gwiji wa muziki Marehemu David Bowie inaongoza kwa mauzo nchini marekani baada ya kutolewa siku mbili kabla ya kifo chake.…
Continue Reading....