Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 931

Category: Habari za Nyumbani

Wanafunzi walemavu Mafinga waipigia magoti Serikali

Posted on: June 17, 2012 - jomushi
Wanafunzi walemavu Mafinga waipigia magoti Serikali

Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com- Mafinga WANAFUNZI wenye ulemavu anuai katika Shule ya Msingi Makalala wameiomba Serikali na wadau wengine kuwasaidia kuwajengea mazingira bora ya kujifunzia…

Continue Reading....

Marehemu Wille Edward katika mkutano wa mwisho kabla ya mauti

Posted on: June 17, 2012 - jomushi
Marehemu Wille Edward katika mkutano wa mwisho kabla ya mauti

Na Mwandishi Wetu MPIGANAJI mwanahabari na Mhariri Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo hatunaye tena duniani. Wille Edward amefariki usiku wa kuamkia leo akiwa mjini…

Continue Reading....

Wanahabari na mafunzo ya sensa ya watu na makazi mjini Morogoro

Posted on: June 17, 2012 - jomushi
Wanahabari na mafunzo ya sensa ya watu na makazi mjini Morogoro

Continue Reading....

WAZAZI TUSIWATELEKEZE WATOTO WALEMAVU

Posted on: June 17, 2012 - jomushi
WAZAZI TUSIWATELEKEZE WATOTO WALEMAVU

NA MWANDISHI WETU SHINYANGA MENEJA UENDESHAJI WA SHIRIKA LA KUHUDUMIA WALEMAVU WA NGOZI NCHINI, GAMAREL MBOYA AKIWAVISHA KOFIA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI KATIKA SHULE…

Continue Reading....

Mbunge wa Kishapu kulipua bomu bungeni, ni kuhusu ubadhilifu

Posted on: June 17, 2012 - jomushi
Mbunge wa Kishapu kulipua bomu bungeni, ni kuhusu ubadhilifu

Na Shaabani Alley, Shinyanga MBUNGE wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Suleman Nchambi amesema anajiandaa kutoa hoja tatu binafsi bungeni wiki ijayo kuhusu ubadhilifu wa…

Continue Reading....

Deidre Lorenz kukimbia Marathon June 24 Kilimanjaro

Posted on: June 16, 2012June 16, 2012 - jomushi
Deidre Lorenz kukimbia Marathon June 24 Kilimanjaro

MICHEZA sinema maarufu duniani kutoka nchini Marekani Deidre Lorenz atakimbia mbio za kila mwaka za Mount Kilimanjaro Marathon zinazoanza kutimua vumbi kuanzia tarehe 24 Juni…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari