Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 932

Category: Habari za Nyumbani

Albino Shinyanga kusherekea Mtoto wa Afrika kwa hofu

Posted on: June 15, 2012 - jomushi
Albino Shinyanga kusherekea Mtoto wa Afrika kwa hofu

Watoto wenye ulemavu wa ngozi albino wakiwa katika shule maalumu ya Buhangija iliyopo Manispaa ya Shinyanga wakiwa katika uangalizi kufuatia tishio la mauaji hata hivyo…

Continue Reading....

NAPE ahaidi maendeleo kwa wafanyabiashara wa standi ya Mufindi

Posted on: June 15, 2012June 15, 2012 - jomushi
NAPE ahaidi maendeleo kwa wafanyabiashara wa standi ya Mufindi

NAPE akiwa wilayani Mufundi katika ziara ya siku nne mkoani Iringa kukagua uhai wa Chama na kuhimiza maendeleo amesema atatoa mipira sita na jezi kwa…

Continue Reading....

Nape awapiga tafu wanamichezo vijana Mafinga

Posted on: June 15, 2012June 15, 2012 - jomushi
Nape awapiga tafu wanamichezo vijana Mafinga

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye ameahidi kuwapa vifaa vya michezo timu za vijana wanaojishughulisha na kazi za…

Continue Reading....

Nape- vibali vitolewe kwa wakataji mbao wadogo

Posted on: June 15, 2012June 15, 2012 - jomushi
Nape- vibali vitolewe  kwa wakataji mbao wadogo

Na mwandishi wetu MIringa CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetaka uwekwe utaratibu maalum utakaowezesha wapasuaji mbao wadogo katika wilaya Mufindi mkoani Iringa, nao kupewa vibali vya…

Continue Reading....

Sekondari ya Naura yadorora yaongoza kwa matokeo mabaya

Posted on: June 15, 2012June 15, 2012 - jomushi
Sekondari ya Naura yadorora yaongoza kwa matokeo mabaya

SHULE iliyoko eneo la NJIRO ndiyo Sekondari iliyodorora kielimu Mkoani Arusha Uchunguzi uliofanywa na Shirika la HakiElimu umegundua kuwa Shule ya Sekondari ya Naura iliyoko…

Continue Reading....

Waandishi wa habari ‘wasaka’ almasi Songwa

Posted on: June 14, 2012 - jomushi
Waandishi wa habari ‘wasaka’ almasi Songwa

Na Mwandishi wa dev.kisakuzi.com, Songwa-Shinyanga BAADHI ya waandishi kutoka jijini Dar es Salaam na mkoani Shinyanga wametembelea machimbo ya almasi yanayofanywa na wananchi eneo la…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari