Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 918

Category: Habari za Nyumbani

Pinda aitaka ALAT ikunjue makucha

Posted on: July 2, 2012July 2, 2012 - jomushi
Pinda aitaka  ALAT ikunjue makucha

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameitaka Jumuiya ya Serikali za Mitaa (ALAT) iache kukaa kimya na badala yake ikemee uozo unaofanywa na watendaji kwenye Serikali za…

Continue Reading....

Mahakama ya Afrika Mashariki kujikita katika kesi za jinai

Posted on: July 2, 2012July 2, 2012 - jomushi
Mahakama ya Afrika Mashariki kujikita katika kesi za jinai

MAMLAKA ya Mahakama ya Afrika Mashariki (EACJ) yatapanuliwa katika siku za usoni kushughulikia pia kesi za makosa ya jinai zikiwemo za mauaji ya kimbari na…

Continue Reading....

Serikali itazame upya mfumo wa ufundishaji

Posted on: July 2, 2012July 2, 2012 - jomushi
Serikali itazame upya mfumo wa ufundishaji

Na mwandishi wetu SERIKALI imeshauriwa kutizama upya sera ya elimu na kubadili mfumo wa ufundishaji mashuleni hatua ambayo itasaidia kukabiliana na tatizo la ongezeko la…

Continue Reading....

Utafiti TAMWA waonesha vipigo kwa wanawake vimekithiri

Posted on: July 2, 2012 - jomushi
Utafiti TAMWA waonesha vipigo kwa wanawake vimekithiri

Na Joachim Mushi, dev.kisakuzi.com CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA), kimewataka viongozi wote ngazi ya wilaya kwa kushirikiana na wabunge kukemea vitendo vya unyanyasaji…

Continue Reading....

Hispania mabingwa tena UEFA-EURO 2012, waipiga Italia 4-0

Posted on: July 2, 2012 - jomushi
Hispania mabingwa tena UEFA-EURO 2012, waipiga Italia 4-0

TIMU ya Taifa la Hispania hatimaye imekata mzizi wa fitina baada ya kunyakuwa la UEFA-EURO baada ya kuichakaza bila huruma timu ya Taifa la Italia.…

Continue Reading....

Ikulu: Msafara wa Rais haukurushiwa mawe, ni uzushi

Posted on: July 1, 2012 - Rungwe Jr.
Ikulu: Msafara wa Rais haukurushiwa mawe, ni uzushi

Ikulu imekanusha taarifa zilizoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari (sio NIPASHE) kuwa juzi msafara wa Rais Jakaya Kikwete ulirushiwa mawe na kulazimika kusimama kwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari