Hatimaye Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka amesafirishwa jana, kwenda nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi baada ya baadhi ya vipimo kukosekana…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Waziri Mkuu Tanzania awataka wajasiriamali kuwa makini
Na Mwandishi wetu WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewataka wajasiriamali wa kati na wadogo nchini wawe waangalifu na makini katika biashara wanazopanga kuzifanya kama kweli wanataka…
Continue Reading....Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa kiislam yaunga mkono kauli ya Mufti
Na. Mwandishi wetu Taasisi ya masheikh na wanazuoni wa Kiislamu Tanzania imeunga mkono kauli iliyotolewa hivi karibuni na Sheikh mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban…
Continue Reading....Mahakama ya Kadhi sasa kuanzishwa wakati wowote asema Pinda
Serikali imesema uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi itakayoshughulikia migogoro na masuala mbalimbali ya usatawi wa Waislamu nchini umefikia katika hatua nzuri. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda,…
Continue Reading....Dk.Ulimboka hali mbaya
Hali ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari nchini, Dk. Steven Ulimboka ni mbaya na sasa madaktari wanatafuta Dola za Marekani 40,000 (Sh. milioni 63.07) ili…
Continue Reading....Dk Ulimboka ana siri nzito, kuanika kila kitu baadaye, ataka kwa sasa apumzike
ASEMA ATAANIKA KILA KITU BAADAYE, ASEMA ACHWE APUMZIKE, MKUU WA JOPO LA MADAKTARI WANAOMTIBU ASEMA ALING’OLEWA KUCHA, MENO MAWILI NA KUPATA MTIKISIKO WA UBONGO MWENYEKITI…
Continue Reading....