KAMPUNI ya Oriflame inayojishughulisha na kutengeneza vipodozi yenye makao yake makuu nchini Sweden, imezindua bidhaa mpya zitakazouzwa nchini kwa kupitia wasambazaji na wanachama wake. Bidhaa…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Burundi yamtunukia tuzo Mwalimu Julias Nyerere
TAIFA la Burundi limemtunukia Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere Tuzo la juu kabisa ambalo Burundi hutoa kwa watu mbali mbali kutokana na mchango wake…
Continue Reading....Madaktari waliogoma Hospitali ya Taifa Muhimbili warejea kazini
TAARIFA ambazo zimetufikia kutoka katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ni kwamba madaktari ambao walikuwa wakiendesha mgomo wamerejea kazini na wagonjwa wameanza kupata huduma kama kawaida.…
Continue Reading....Serikali haiwezi kumlipa mil. 3.5 daktari mmoja – Rais Kikwete
*Asema daktari asiyetaka mshahara uliopo aache kazi kistarabu RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema Serikali hainauwezo wakuwalipa madaktari sh. milioni 3.5 kwa daktari anayeanza kazi…
Continue Reading....UN ndani ya Maonesho ya Sabasaba Dar es Salaam
Maonesho ya kimataifa ya biashara Dar es Salaam (DITF) maarufu kama Saba saba yameanza Juni 28, 2012 katika viwanja vya Maonesho vya JK Nyerere barabara…
Continue Reading....Bodi ya Wadhamini Muhimbili yatoa masharti makali kwa madaktari
*Yawataka madaktari warejee kazini, mwisho Julai 3 BODI ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili imekutana na kutoa maagizo makali kwa uongozi wa Hospitali ya…
Continue Reading....