Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete leo, Septemba 19, 2012, ameweka jiwe la msingi kwenye Kituo Kikubwa cha Mabasi…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
JK Amteua Rished Bade kuwa Naibu Kamishna wa Mapato
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Rished Bade kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).…
Continue Reading....Rais Kikwete Azindua Barabara ya Msata-Bagamoyo
NDOTO ya miaka mingi ya kujengwa kwa barabara ya Msata-Bagamoyo kwa kiwango cha lami imetimia Jumanne, Septemba 18, 2012, wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano…
Continue Reading....Rasimu ya Udhibiti Dawa Bandia katika Nchi za Afrika yaja
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Chakula na Dawa(TFDA, Haiiti Sillo amesema kwamba kamati maalum inayoaandaa rasimu za awali ya mifumo wa kuoanisha usajili…
Continue Reading....SHY-ROSE aichangia TAMWA Milioni 2
MBUNGE wa Afrika Mashariki Shy-Rose amekichangia Chama Cha Wanahabari Wanawake nchini –TAMWA jumla ya shilingi milioni mbili. Akiukabidhi mchango huo katika ofisi za TAMWA jijini…
Continue Reading....Mtihani Mpya Darasa la Saba Haumchuji Anayejua Kusoma au Asiyejua – Walimu
Na Joachim Mushi WAKATI wanafunzi wa darasa la Saba wakitarajia kuanza mitihani yao kesho baadhi ya walimu wa Sekondari wametoa angalizo kuwa mfumo mpya unaotarajiwa…
Continue Reading....