Na Anna Nkinda – Maelezo, New York MSHIKAMANO wa pamoja unahitajika baina ya nchi zilizoendelea na zinazoendelea ili kuhakikisha mtoto wa kike ambaye hajapata nafasi…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Rais Kikwete Afanya Mazungumzo na Bi. Melinda Gates
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete Septemba 27, 2012, amefanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Bill and Melinda Gates, Bi. Melinda…
Continue Reading....Serikali Yawaandalia Neema Wakulima Mauzo ya Mazao
UKOMBOZI zaidi wa wakulima wa Tanzania utakuja mwishoni mwa mwaka ujao wakati Serikali inapopanga kuzindua Soko la Mazao (Commodity Exchange) ambalo kazi yake kuu itakuwa…
Continue Reading....Wasanii wa Sanaa za Maonesho Wapewa Changamoto Bagamoyo
Na Magreth Kinabo -Maelezo, Bagamoyo WASANII wa sanaa za maonesho nchini wamepewa changamoto ya kutambua kuwa watalii ni hadhira ambayo wanaweza kuilenga katika ubunifu wa…
Continue Reading....Shy-Rose Bhanji Atesa Kinyang’anyiro cha Uchaguzi CCM
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-Rose Bhanji amefanikiwa kuwa mmoja kati ya wagombea 31 waliopitishwa na Kamati ya Halmashauri Kuu ya CCM-NEC kuwania nafasi…
Continue Reading....HakiElimu Wazindua Matangazo Kuhamasisha Elimu ya Awali
Na Joachim Mushi TAASISI ya HakiElimu imezindua matangazo mapya ya redio na televisheni ikiwa ni kampeni ya kuhamasisha jamii na Serikali juu ya umuhimu wa…
Continue Reading....