BARAZA la Taifa la Watu Wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (NACOPHA), limeitaka Serikali kuwaeleza wananchi madhara watakayoyapata baada ya kutumia dawa bandia za kupunguza makali…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Vita CCM, NEC Yatangaza Wagombea…!
*Mawaziri Wachuana Kundi la Kifo, Yawatosa Londa, Mkono, Familia ya Kikwete Yaingiza Watatu HALMASHAURI Kuu ya CCM (Nec), imetangaza majina ya wagombea walioteuliwa kuwania nafasi…
Continue Reading....Kikwete Atoa Rambirambi Kifo Cha Jenerali Anatory Kamazima
RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za pole Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange kufuatia kifo cha Meja Jenerali Anatory Ruta Kamazima (Mstaafu) aliyefariki Septemba 25,…
Continue Reading....Dk. Shein Awataka Masheha Kutojihusisha na Migogoro ya Ardhi
Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar VIONGOZI wa Serikali za Mitaa wakiwemo Masheha wametakiwa kutojihusisha na migogoro ya ardhi kwani inaathiri maendeleo ya kilimo, utalii na makaazi…
Continue Reading....Taasisi ya Mawasiliano EAC Yafungua Ofisi Kigali
James Gashumba, EANA- Arusha TAASISI ya Mawasiliano ya Afrika Mashariki (EACO) imefungua ofisi za sekretarieti yake mjini Kigali, Rwanda ili kuratibu na kurahisisha utendaji kazi…
Continue Reading....